618- Nilimsikia Ahmad akiulizwa swali ambalo mimi mwenyewe niliwahi kuliuliza hapo kabla, nalo ni kama mfungaji anaweza kutumia Siwaak baada ya alasiri. Akajibu:

“Nataraji hivo.”

Nikaulizwa swali hilohilo kwa mara nyingine akajibu:

“Baadhi ya watu wanaliepuka.”

Bi maana baada ya alasiri.

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 129
  • Imechapishwa: 20/03/2021