Swali: Baadhi ya wanachuoni Yemen wanajuzisha mwanamke kutembelea makaburi. Tunataka Fatwa ya wazi juu ya hilo.

Jibu: Sisi hatujuzishi hilo kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi. Laana haiwi isipokuwa kwa dhambi kubwa. Haijuzu kwa mwanamke kutembelea makaburi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-27.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015