Swali 121: Ni ipi hukumu ya kwenda Jihaad pasi na idhini ya mtawala licha ya kwamba mpambanaji anasamehewa pale tu linapodondoka tone lake la kwanza la damu? Je, mtu huyu anazingatiwa ni mpambanaji?
Jibu: Hawi mpambanaji akimuasi mtawala, akaiasi nchi na akaenda. Hawi mpanbanaji. Anakuwa ni mtenda maasi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 306
- Imechapishwa: 01/11/2019
Swali 121: Ni ipi hukumu ya kwenda Jihaad pasi na idhini ya mtawala licha ya kwamba mpambanaji anasamehewa pale tu linapodondoka tone lake la kwanza la damu? Je, mtu huyu anazingatiwa ni mpambanaji?
Jibu: Hawi mpambanaji akimuasi mtawala, akaiasi nchi na akaenda. Hawi mpanbanaji. Anakuwa ni mtenda maasi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 306
Imechapishwa: 01/11/2019
https://firqatunnajia.com/sio-mpambanaji-bali-ni-mtenda-maasi/