Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuomba kujivua katika ndoa kutoka kwa mume wake ikiwa anapuuzia swalah kwa kuzikusanya zote katika wakati mmoja, hafungu na wala haswali pamoja na kwamba nimemnasihi sana ila haitikii.
Jibu: Si kwamba inajuzu, bali ni wajibu kwake kuomba kutengana naye. Ni wajibu kwake kuomba watengane na wala asibaki kwa mwanaume ambaye haswali na wala hafungi na tunaomba kinga kutoka kwa Allaah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12934
- Imechapishwa: 18/09/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuomba kujivua katika ndoa kutoka kwa mume wake ikiwa anapuuzia swalah kwa kuzikusanya zote katika wakati mmoja, hafungu na wala haswali pamoja na kwamba nimemnasihi sana ila haitikii.
Jibu: Si kwamba inajuzu, bali ni wajibu kwake kuomba kutengana naye. Ni wajibu kwake kuomba watengane na wala asibaki kwa mwanaume ambaye haswali na wala hafungi na tunaomba kinga kutoka kwa Allaah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12934
Imechapishwa: 18/09/2020
https://firqatunnajia.com/si-kwamba-inajuzu-bali-ni-wajibu-kuomba-talaka/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)