Shaykh-ul-Islaam amejuzisha kuwataka msaada majini waislamu?    

Swali: Imesemwa kuwa Imaam Ibn Taymiyyah amejuzisha kutaka msaada kutoka kwa ndugu zetu waislamu katika majini. Je, yaliyosemwa ni sahihi na vipi nitajua kuwa ni waislamu?

Jibu: Sijui hili kwa Shaykh. Ikiwa muulizaji amepata kitu atuletee tutazame.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
  • Imechapishwa: 05/07/2020