Mpumbavu au aliye na ´Aqydah mbovu ndiye asema hivi   

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusujudu mbele ya sanamu lakini nia yake ni kusujudu kwa ajili ya Allaah (Subhaanah) ili aweze kufikia jambo la kidunia?

Jibu: Namwomba Allaah kinga kuwa miongoni mwa wajinga. Anasujudia sanamu kwa nia ya kumsujudia Allaah? Hakuna mwenye kusema hivi isipokuwa mtu mpumbavu au mtu mwenye ´Aqiydah mbovu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
  • Imechapishwa: 05/07/2020