Himdi zote anastahiki Allaah na swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, kizazi chake na Maswahabah zake. Amma ba´d:
Ni jambo linalotambulika kwamba Ibn Jibriyn – Allaah atusamehe sisi na yeye – aliwasifu na kuwatetea Hizbiyyuun, Jamaa´at-ut-Tabliygh, al-Ikhwaan al-Muslimuun, kiongozi wa Takfiyr wa zama hizi Sayyid Qutwub na kiongozi wa Khawaarij wa zama hizi Usaamah bin Laadin ambaye anamwita “Mujaahid”.
Ningetunga kitabu kumuhusu nimekuta ndugu Dr. ´Abdur-Rahmaan bin ´Abdillaah al-Ibraahiym tayari amekwishamraddi vya kutosha. Hivyo tayari amekwishafanya kazi yangu – Allaah amjaze kheri.
´Ubayd bin ´Abdillaah Sulaymaan al-Jaabiriy
Muhadhiri wa chuo kikuu cha Kiislamu hapo kabla.
- Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/showthread.php?t=351090
- Imechapishwa: 05/07/2020
Himdi zote anastahiki Allaah na swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, kizazi chake na Maswahabah zake. Amma ba´d:
Ni jambo linalotambulika kwamba Ibn Jibriyn – Allaah atusamehe sisi na yeye – aliwasifu na kuwatetea Hizbiyyuun, Jamaa´at-ut-Tabliygh, al-Ikhwaan al-Muslimuun, kiongozi wa Takfiyr wa zama hizi Sayyid Qutwub na kiongozi wa Khawaarij wa zama hizi Usaamah bin Laadin ambaye anamwita “Mujaahid”.
Ningetunga kitabu kumuhusu nimekuta ndugu Dr. ´Abdur-Rahmaan bin ´Abdillaah al-Ibraahiym tayari amekwishamraddi vya kutosha. Hivyo tayari amekwishafanya kazi yangu – Allaah amjaze kheri.
´Ubayd bin ´Abdillaah Sulaymaan al-Jaabiriy
Muhadhiri wa chuo kikuu cha Kiislamu hapo kabla.
Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.sahab.net/forums/showthread.php?t=351090
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/shaykh-ubayd-al-jaabiriy-kuhusu-ibn-jibriyn/