Swali: Nimesikia kutoka kwa baadhi ya Mashaykh, kama Shaykh Saliym al-Hilaaliy, na Shaykh Usaamah al-Quusiy, kwamba Swaalih al-Munajjid kamili katika Suruuriyyah. Mimi nataka kujua nini wanachosema wanachuoni wa Saudi Arabia kuhusu mtu huyu pamoja na kuwa ni msyria anayeishi Saudi Arabia.
Jibu: Mimi siwezi kuwasemea wanachuoni wa Saudi Arabia, kwa kuwa mimi similiki hilo. Lakini nitaelezea vile nijuavyo mimi. Nataka kutoka kwako, vijana wetu na mabanati zetu wasikilize na kufahamu yafuatayo. Nijuayo kuhusu mtu huyu ni kama uliyosikia pia wewe kuhusu mtu huyu na kwamba ni Qutbiy.
- Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=hQbG-97gqSQ
- Imechapishwa: 28/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)