al-Buraa´iy kuhusu Swaalih al-Munajjid na Mukhtaar ash-Shanqiytwiy

Ama Swaalih al-Munajjid yuko pamoja na Qutbiyyuun. Mikanda yake ni ya kielimu, lakini [sauti haisikiki]. Yuko pamoja na Qutbiyyuun. Muhammad [al-Mukhtaar] ash-Shanqiytwiy ni Suufiy. Na yuko na ibara katika ibara za Suufiyyah. Anasema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anapoteremshiwa Wahyi anatoka katika umbile la kibinaadamu. Suufiyyah kule wanampenda sana.

  • Mhusika: Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Yahyaa al-Buraa´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=133766
  • Imechapishwa: 28/07/2020