Shahidi kama wa vitani aliyekufa kwa tumbo la kuhara sana?

Swali 310: Vipi kuhusu ambaye amekufa kwa tumbo la kuhara sana ni kama shahidi aliyekufa vitani?

Jibu: Dhahiri ni kwamba wanatofautiana.

Swali 311: Je, ni shahidi hata kama alikuwa miongoni mwa watenda madhambi?

Jibu: Ndio, anayo msingi wa fadhilah.

Swali 312: Je, aliyeuawa na tumbo lake ni maalum kwa kuhara tu?

Jibu: Pengine ni jambo lenye kuenea.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 110-111
  • Imechapishwa: 24/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´