Serikali imekataza kazi ya kubadilisha pesa

Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi ya kubadilisha pesa ikiwa serikali imekataza hilo kwa sababu jambo hilo linadhuru uchumi?

Jibu: Ikiwa imekataza ajizuilie. Atafute riziki kwa njia nyingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 03/07/2024