Swali: Ni lini husemwa:
السلام على من اتبع الهدى
”Amani iwe juu ya yule anayefuata uongofu.”?
Jibu: Husemwa unapomtumia ujumbe mtu ambaye si muislamu unasema:
السلام على من اتبع الهدى
”Amani iwe juu ya yule anayefuata uongofu.”
Pia ikiwa kuna mkusanyiko wa watu ambao si waislamu, basi unasema:

Ama ikiwa kuna mkusanyiko wenye mchanganyiko wa waislamu na makafiri, basi wasalimie. Kwa sababu imethibiti kwamba mwanzoni mwa kuhajiri Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipita karibu na kundi lililokuwa na mchanganyiko wa waislamu na makafiri ambapo akawasalimia.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 12/09/2026
Swali: Ni lini husemwa:
السلام على من اتبع الهدى
”Amani iwe juu ya yule anayefuata uongofu.”?
Jibu: Husemwa unapomtumia ujumbe mtu ambaye si muislamu unasema:
السلام على من اتبع الهدى
”Amani iwe juu ya yule anayefuata uongofu.”
Pia ikiwa kuna mkusanyiko wa watu ambao si waislamu, basi unasema:
السلام على من اتبع الهدى
”Amani iwe juu ya yule anayefuata uongofu.”
Ama ikiwa kuna mkusanyiko wenye mchanganyiko wa waislamu na makafiri, basi wasalimie. Kwa sababu imethibiti kwamba mwanzoni mwa kuhajiri Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipita karibu na kundi lililokuwa na mchanganyiko wa waislamu na makafiri ambapo akawasalimia.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 12/09/2026
https://firqatunnajia.com/salamu-ya-kumpa-kafiri/