Swali: Ikiwa kuna fursa kwa mlinganizi ambaye ni Salafiy kuzungumza na kuwalingania watu katika haki sehemu ambapo kunajulikana ni kwa Hizbiyyuun au Ahl-ul-Bid´ah kama misikiti yao au vituo vyao. Je, Salafiy huyo achukue fursa hiyo na kuzungumza?
Jibu: Ndugu! Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akienda kwa washirikina katika mikusanyiko yao na akiwalingania katika dini ya Allaah na akiwalingania katika Tawhiyd. Nenda na uwalinganie katika haki, Sunnah na katika mfumo wa Salaf-us-Swaalih. Unapara ujira kwa kufanya hivo. Huenda Allaah akawaongoza au akawaongoza baadhi yao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
- Imechapishwa: 21/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)