Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali kati ya nguzo mbili pamoja na kujua ya kwamba msikiti ni mpana?

Jibu: Imechukizwa kuswali kati ya nguzo mbili ikiwa hilo litapelekea kukata safu. Ispokuwa tu wakati wa haja. Kukiwepo haja. Msikiti ukiwa ni mfinyu hakuna machukizo. Machukizo yanaondoka wakati wa haja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (77) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-19.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020