Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali kati ya nguzo mbili pamoja na kujua ya kwamba msikiti ni mpana?
Jibu: Imechukizwa kuswali kati ya nguzo mbili ikiwa hilo litapelekea kukata safu. Ispokuwa tu wakati wa haja. Kukiwepo haja. Msikiti ukiwa ni mfinyu hakuna machukizo. Machukizo yanaondoka wakati wa haja.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (77) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-19.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali kati ya nguzo mbili pamoja na kujua ya kwamba msikiti ni mpana?
Jibu: Imechukizwa kuswali kati ya nguzo mbili ikiwa hilo litapelekea kukata safu. Ispokuwa tu wakati wa haja. Kukiwepo haja. Msikiti ukiwa ni mfinyu hakuna machukizo. Machukizo yanaondoka wakati wa haja.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (77) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-19.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/safu-kati-ya-nguzo-mbili/