Swali: Umetaja Salmaan na Safar na kusema kuwa ni watu tu wa maslahi?

Jibu: Namaamisha marafiki zetu ndio watu wenye maslahi tu.

Kuhusu Salmaan na Safar, sababu ya hili – yaani upotevu wao – wanachopenda na kutumia juhudi kupata uongozi. Tumewatumia nasaha ya uandishi. Hatukumbuki na wala hatujui kama ni watu wa maslahi au hapana.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/sounds.php?sound_id=6
  • Imechapishwa: 23/04/2015