Swali: Je, kuna makosa kwa Safar na Salmaan?
Jibu: Ndio. Ndio. Wana mtazamo mbaya kwa watawala na nchi. Wanawachochea vijana na kuwajaza ´Awwaam chuki. Ni katika mfumo wa Khawaarij. Kanda zao zinaashiria hilo.
Swali: Hili linawapelekea katika Bid´ah?
Jibu: Halina shaka juu yake. Hii ni Bid´ah wanayosifika nayo khaswa Khawaarij na Mu´tazilah. Allaah awaongoze. Allaah awaongoze.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alrbanyon.com/vb/showthread.php?t=14607
- Imechapishwa: 23/04/2015
Swali: Je, kuna makosa kwa Safar na Salmaan?
Jibu: Ndio. Ndio. Wana mtazamo mbaya kwa watawala na nchi. Wanawachochea vijana na kuwajaza ´Awwaam chuki. Ni katika mfumo wa Khawaarij. Kanda zao zinaashiria hilo.
Swali: Hili linawapelekea katika Bid´ah?
Jibu: Halina shaka juu yake. Hii ni Bid´ah wanayosifika nayo khaswa Khawaarij na Mu´tazilah. Allaah awaongoze. Allaah awaongoze.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alrbanyon.com/vb/showthread.php?t=14607
Imechapishwa: 23/04/2015
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-bidah-ya-al-awdah-na-al-hawaaliy/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket