Sababu ya Mtume kusoma kwa sauti wakati wa Rak´ah mbili za Twawaaf

425 – Kwa nini alisoma kwa sauti ya juu katika Rak´ah mbili za Twawaaf hali ya kuwa ameshafanya Twawaaf mchana?

Jibu: Hii ilikuwa kwa ajili ya kuwafundisha Maswahabah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 139
  • Imechapishwa: 28/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´