Anapoanza tena aliyekata Twawaaf au Sa´y

Swali 424: Atakayekata Twawaaf au Sa´y ni wapi ataanza baada ya hapo?

Jibu: Kutoka sehemu aliyoikatia. Haanzi kutoka kwenye jiwe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 139
  • Imechapishwa: 28/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´