Ruqyah ni kwa wakubwa na kwa watoto wachanga

Swali: Je, imependekezwa kuwasomea watoto wadogo ambao hawajui Ruqyah?

Jibu: Wakipatwa na ugonjwa wasomee. Hili ni jambo zuri. Ruqyah ni kwa mkubwa na mdogo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%2027-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020