Swali: Kuna mtu Allaah Amemruzuku mtoto. Je, inajuzu kwake kumwita jina la “Taraf”?

Jibu: Taraf ni lenye kulaumika katika Qur-aan. Usimwite Taraf. Kwa kuwa Taraf ni lenye kusimangwa katika Qur-aan. Katika Sunnah au wajibu kabisa ni [mzazi] kulifanya zuri jina la mtoto wake. Amwite kwa jina zuri na asimwite kwa jina baya au linalochukiza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/1785
  • Imechapishwa: 06/10/2020