Ruhusa kwa mwanamke kulipa deni lake la Ramadhaan?

Swali: Je, mwanamke amuombe ruhusa mume wake kufunga swawm ya kulipa ikiwa bado ana muda wa kutosha?

Jibu: Hapana, lakini akifanya hivyo ni jambo zuri zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
  • Imechapishwa: 03/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´