Romantiki na mke ndani ya kipindi cha kafara

Swali 563: Nilimuuliza kama ambaye amemfananisha mkewe na mama yake anafaa kufanya na mkewe mambo ya kimapenzi kabla ya kutoa kafara?

Jibu: Hapana, dhahiri ni kuwa hairuhusiwi. Isitoshe jengine ni kwamba kufanya naye mambo ya kimapenzi ni njia inayoelekea kwenye tendo la ndoa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 194
  • Imechapishwa: 12/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´