Huko ni kumfananisha na mama

Swali 562: Ikiwa mwanamume atamwambia mkewe: “Wewe kwangu ni haramu”?

Jibu: Huko ni kumfananisha na mama yake. Ikiwa amekusudia talaka, basi inategemea nia yake kwa mujibu wa maoni sahihi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 194
  • Imechapishwa: 12/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´