Rawdhwat-ul-´Uqalaa´ kwa mwanafunzi anayeanza?

Swali: Kitabu “Rawdhwat-ul-´Uqalaa’”[1] ni munasibu kwa mwanafunzi anayeanza?

Jibu: Ndio. Ni kizuri. Sisi tulikisoma. Kilikuwa katika silebasi zetu katika chuo kikuu kwa lengo la kusoma. Ndani yake mna faida kubwa.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/category/kwenye-bustani-la-wenye-busara/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/03/2021