Rangi za kucha zinazuia maji

Swali: Wakati fulani naswali pembezoni mwa mtu ambaye mikononi mwake yuko na rangi za kucha. Ni wajibu kumbainishia kwamba anatakiwa kuondosha rangi hii?

Jibu: Pasi na shaka. Rangi za kucha zinazuia maji. Ni wajibu kwako kumnasihi aondoshe rangi hii na atawadhe ili maji yaweze kufika makuchani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 17/03/2019