Rangi ya juisi inayozalishwa kutokana na kiwango fulani cha cochineal

Swali: Kuna juisi nyekundu ambayo rangi yake nyekundu hutolewa kwenye cochineal, ambavyo ni katika wadudu wachafu kwa mtazamo wa Shari´ah. Ni ipi hukumu ya hilo ikithibiti?

Jibu: Ikithibiti haijuzu. Wala haitakiwi kutamaniwa ikiwa inatokana na chawa. Haitamaniwi na wala haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 05/07/2024