Ni benki ipi inayotoa mkopo unaokubalika kidini?

Swali: Ni benki ipi inayotoa mkopo unaokubalika kidini?

Jibu: Sijui. Sijui benki inayotoa mkopo unaokubalika kidini. Natamani kama kungelikuwepo benki zinazotoa mikopo inayokubalika kidini. Benki zinachotaka ni faida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 05/07/2024