Swali: Ni ipi hukumu ya swawm ya mtu ambaye ameanza kufunga na Saudi Arabia kisha akasafiri katika nchi ambayo mwezi ulichelewa kuanza. Je, afunge siku 31?

Jibu: Ndio, afunge pamoja nao. Afunge na afungue pamoja nao hata kama masiku yataongezeka. Ni mwenye kupewa udhuru; afunge na kufungua pamoja nao.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
  • Imechapishwa: 16/04/2023