Swali: Nikiingia msikitini baada ya adhaana ya fajr niswali Rak´ah mbili kwa ajili ya msikiti halafu niswali Rak´ah mbili za kabla ya fajr?
Jibu: Rak´ah mbili za kabla ya fajr zinatosheleza na Rak´ah mbili kwa ajili ya msikiti. Swali Rak´ah mbili za kabla ya fajr na zinatosheleza na Rak´ah mbili kwa ajili ya mamkuzi ya msikiti.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
- Imechapishwa: 11/02/2017
Swali: Nikiingia msikitini baada ya adhaana ya fajr niswali Rak´ah mbili kwa ajili ya msikiti halafu niswali Rak´ah mbili za kabla ya fajr?
Jibu: Rak´ah mbili za kabla ya fajr zinatosheleza na Rak´ah mbili kwa ajili ya msikiti. Swali Rak´ah mbili za kabla ya fajr na zinatosheleza na Rak´ah mbili kwa ajili ya mamkuzi ya msikiti.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
Imechapishwa: 11/02/2017
https://firqatunnajia.com/rakah-mbili-za-kabla-ya-fajr-zinatosheleza-na-zile-rakah-mbili-kwa-ajili-ya-msikiti/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket