Rak´ah mbili za Ihraam wakati wa muda wa kukatazwa kuswali

Swali: Je, inafaa kuswali Rak´ah mbili za Ihraam wakati wa muda wa kukatazwa kuswali?

Jibu: Mtu aliyetawadha, anatakiwa kuswali Sunnah ya wudhuu´ ambayo haina muda maalum wa katazo. Pia Sunnah ya mamkuzi ya msikiti au Sunnah ya kupatwa kwa jua au mwezi zote ni sehemu ya swalah zinazoruhusiwa kwa sababu maalum.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24951/حكم-صلاة-ركعتي-الاحرام-في-وقت-النهي
  • Imechapishwa: 11/01/2025