Swali: Je, kunaswaliwa Rak´ah mbili baada ya kila Twawaaf?
Jibu: Ndio. Imependekezwa kuswali Rak´ah mbili baada ya kila Twawaaf, ni mamoja Twawaaf hio ni ya wajibu au imependekezwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (24) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-20-02-1435.mp3
- Imechapishwa: 27/07/2020
Swali: Je, kunaswaliwa Rak´ah mbili baada ya kila Twawaaf?
Jibu: Ndio. Imependekezwa kuswali Rak´ah mbili baada ya kila Twawaaf, ni mamoja Twawaaf hio ni ya wajibu au imependekezwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (24) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-20-02-1435.mp3
Imechapishwa: 27/07/2020
https://firqatunnajia.com/rakah-mbili-baada-ya-twawaaf/