Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu150796 JE ikiwa mwalimu wa madrasa ya kisalafi Ana punguza ndevu inafaa kukaa kwake kusoma?
Ndugu151337 Soma sana Qur'aan biidhnillahi imani itapanda
Ndugu151358 Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh.....Jana swala ya Ijumaa nimeenda mskitini na nimeshangaa kusikia muadhin akitamka maneno mengine hapo mengi kabla ya adhan tena kwa sauti je inafaa
Ndugu151358 Alafu ningependa kujua watu wa tabligh ni akina nani
Ndugu152044 darsa haifanyi mbna?
Ndugu152044 radio yakataa kucheza
Ndugu152050 Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh mutatuwia radhi Radio leo nzima haitofanya kazi kutokamana na marekebisho yanayoendelea ya website
Ndugu152050 Ili kusikiliza darsa sahi fwatilizia kwa paltalk room yetu name *da3wah salafiyah Mombasa Swahili language*
Ndugu152628 *da3wah salafiyah Mombasa Swahili language*
Ndugu152628 @Ndugu152628:
Ndugu152628 *da3wah salafiyah Mombasa Swahili language*
Ndugu152628 @Ndugu152628:
Ndugu152628 Assalamun aleykum inshaa Allah mungu awahifadhi nyote
Ndugu153752 Darsa la usuulu thalaatha mda gan
Ndugu153796 Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatuh Allahuma Aamin@Ndugu152628:
Ndugu153796 Kila juma tatu na juma nne baada ya swalatul fajri@Ndugu153752:
Ndugu156184 Mashallah allah amuhifadhi abuu hudhayfah na amkinge na shari za watu
Juma mangwe Juma mangwe
Ndugu156684 Allahuma Aamin @Ndugu156184:
Ndugu156949 Assalam Alaykum
Ndugu156988 Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatuh@Ndugu156949:
Ndugu157117 Assalam alaikumwarahmatullah wabarakatuh.
Ndugu157117 Je waweza Ku download darsi humu ndan ama nikuskiza bac humu humu?
Ndugu157199 Laa hauwezi humu ni kusikiliza tu@Ndugu157117:
Ndugu157199 Ili ku download darasa zilizo pita ingia website firqatunnajiah com au www Assalafiyyah.com in shaa Allah utapata baadhi ya darasa
Ndugu157261 Assalam Alaykum
Ndugu157261 Shekhe wangu, nilikua nataka kuuliza kuhusu hawa Salafi Da'wah East Africa, wako jipi hafidhakallah. Je masalafi? Je tujiunge na magrupu yao na kufaidika kutoka kwao
Ndugu157292 assalam alaykum
Ndugu157292 ikhwa huyu anayejibiwa ni nani ?
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa

Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 01.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com