Swali: Ni yapi madhehebu ya Raafidhwah juu ya sifa za Allaah?
Jibu: Ni Mu´tazilah. Raafidhwah waliokuja nyuma wamekuwa ni Mu´tazilah. Wamekusanya baina ya u-Raafidhwah na I´tizaal. Kwa ajili hiyo kitabu cha Radd cha Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah juu yao “Minhaaj I´tidaal fiy ar-Radd ´alaa Ahl-il-Rafdhwiy wal-I´tizaal”. Kwa kuwa Raafidhwah waliokuja nyuma wamekuwa ni Mu´tazilah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13810
- Imechapishwa: 16/11/2014
Swali: Ni yapi madhehebu ya Raafidhwah juu ya sifa za Allaah?
Jibu: Ni Mu´tazilah. Raafidhwah waliokuja nyuma wamekuwa ni Mu´tazilah. Wamekusanya baina ya u-Raafidhwah na I´tizaal. Kwa ajili hiyo kitabu cha Radd cha Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah juu yao “Minhaaj I´tidaal fiy ar-Radd ´alaa Ahl-il-Rafdhwiy wal-I´tizaal”. Kwa kuwa Raafidhwah waliokuja nyuma wamekuwa ni Mu´tazilah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13810
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/raafidhwah-wa-leo-ni-mutazilah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)