Swali: Je, ni Sunnah kuomba du´aa katika kisimamo cha Ramadhaan kila siku?

Jibu: Hii ni Qunuut ya Witr iliyopokelewa katika Hadiyth ya al-Hasan (Radhiya Allaahu ´anh).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23769/حكم-الدعاء-في-رمضان-في-القيام-كل-ليلة
  • Imechapishwa: 25/04/2024