Swali: Kupiga picha viumbe vyenye roho ni kufuru kubwa, kufuru ndogo au ni maasi?
Jibu: Sio kufuru kubwa. Lakini hata hivyo ni katika madhambi makubwa. Kumepokelewa juu yake matishio makali ya adhabu na watengeneza picha wamelaaniwa. Ukiongezea juu ya hayo picha ni njia inayopelekea katika shirki kubwa.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/465)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Kupiga picha viumbe vyenye roho ni kufuru kubwa, kufuru ndogo au ni maasi?
Jibu: Sio kufuru kubwa. Lakini hata hivyo ni katika madhambi makubwa. Kumepokelewa juu yake matishio makali ya adhabu na watengeneza picha wamelaaniwa. Ukiongezea juu ya hayo picha ni njia inayopelekea katika shirki kubwa.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/465)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/picha-ni-njia-inayopelekea-katika-shirki-kubwa/