Swali: Je, kuhani na mpiga ramli wanaswaliwa wanapokufa ikiwa yeye anaswali au haswali?

Jibu: Kuhani na mpiga ramli wakifa, ilihali wamo katika hali zao zinazojulikana kwa kudai kujua mambo yaliyojifichikana, hawaswaliwi hata kama wanaswali. Kudai kwao kujua mambo yaliyofichikana ni kufuru kubwa inayobatilisha swalah zao na mambo mengine [yote].

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (407/01)
  • Imechapishwa: 24/08/2020