Swali: Je, kumethibiti kitu katika Sunnah kuonyesha ya kwamba watu wa Peponi hawatofaradhishiwa mambo ya ´ibaadah kama mfano wa Swalah, Swawm na mengineyo?
Jibu: Pepo ni Nyumba ya malipo na sio Nyumba ya matendo. Pepo ni Nyumba ya malipo peke yake na sio Nyumba ya matendo. Hakuna matendo kama ambayo yapo [hapa] duniani. Kwa kuwa matendo yameisha duniani na kilichobaki ni malipo tu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-13.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Je, kumethibiti kitu katika Sunnah kuonyesha ya kwamba watu wa Peponi hawatofaradhishiwa mambo ya ´ibaadah kama mfano wa Swalah, Swawm na mengineyo?
Jibu: Pepo ni Nyumba ya malipo na sio Nyumba ya matendo. Pepo ni Nyumba ya malipo peke yake na sio Nyumba ya matendo. Hakuna matendo kama ambayo yapo [hapa] duniani. Kwa kuwa matendo yameisha duniani na kilichobaki ni malipo tu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-13.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/peponi-kutakuwa-ibaadah/