Swali: Je, inafaa kuchelewesha kugawanya mirathi mpaka wakafa baadhi ya warithi?
Jibu: Haijuzu kuchelewesha kugawanya mirathi. Wenye haki ya kurithi wakiomba haki yao hapo haitojuzu kuichelewesha muda wa kuwa hakuna udhuru unaokubalika kwa mujibu wa Shari´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
- Imechapishwa: 08/09/2023