Swali: Ni ipi hukumu ya kuingia misikitini na pakiti ya sigara?

Jibu: Ikiwa imefichwa, basi anapaswa kuepuka tu. Hata hivyo ikiwa kuna harufu inayowachukiza watu, basi haijuzu kwake. Mfano wake ni vitunguu saumu na figili, bali hiyo ni mbaya na ovu zaidi. Hapo ni pale ambapo harufu inadhihiri na inawakera watu. Aliyekula figili alikuwa akitolewa msikitini.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28969/%D9%85%D8%A7%C2%A0%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%AF%D8%AE%D9%88%D9%84-%D8%A7%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B3%D8%AC%D8%AF%C2%A0%D8%A8%D8%B9%D9%84%D8%A8%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%AF%D8%AE%D8%A7%D9%86
  • Imechapishwa: 14/05/2025