Paji la uso kugusa katika ardhi kwa mwenye kilemba

Swali: Inajuzu kusujudia kwenye kilemba ikiwa nimevaa kilemba au ni lazima paji la uso liguse kwenye ardhi moja kwa moja?

Jibu: Ikiwa kilemba kinakutia uzito kukivua, hakuna neno ukasujudia juu yake. Ama ikiwa hakikutii uzito kukivua, bila ya shaka kusujudia kwenye paji la uso ni jambo bora zaidi.

Check Also

Kusujudu juu ya sifongo, godoro dogo au kitu mfano wake

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuingia msikiti ambao umetandikizwa sifongo juu yake? Ni ipi …