Mke kumpeleleza mume wake

Swali: Je, mke anaweza kupekua na kusoma makaratasi ya mume wake pasi na idhini yake?

Jibu: Haitakikani kwa mwanamke kuchukua vitu ambavyo ni maalum kwa mume wake na akavisoma. Hili halitakikani. Ni wajibu kwake kuwa na adabu. Akibainikiwa na kitu, hewala, la sivyo, hapati kufanya hivo.

Check Also

Peleka mahakamani

Swali: Mimi nina dada anayegombana na mume wake mwenye madhehebu na mfumo wa Suufiyyah. Anampiga, …