Swali: Inajuzu kusujudia kwenye kilemba ikiwa nimevaa kilemba au ni lazima paji la uso liguse kwenye ardhi moja kwa moja?
Jibu: Ikiwa kilemba kinakutia uzito kukivua, hakuna neno ukasujudia juu yake. Ama ikiwa hakikutii uzito kukivua, bila ya shaka kusujudia kwenye paji la uso ni jambo bora zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa–1431-03-06.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Inajuzu kusujudia kwenye kilemba ikiwa nimevaa kilemba au ni lazima paji la uso liguse kwenye ardhi moja kwa moja?
Jibu: Ikiwa kilemba kinakutia uzito kukivua, hakuna neno ukasujudia juu yake. Ama ikiwa hakikutii uzito kukivua, bila ya shaka kusujudia kwenye paji la uso ni jambo bora zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa–1431-03-06.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/paji-la-uso-kugusa-katika-ardhi-kwa-mwenye-kilemba/