Operesheni kwa ajili ya kurudisha bikira

Swali: Mimi ni daktari na nilikuwa nafanya operesheni za kurudisha bikira kwa watoto wa kike. Ni ipi hukumu kwa sababu wakati mwingine najua kuwa  mtoto wa kike ameipoteza bikira yake kwa njia ya haramu?

Jibu: Usifanye hivi. Usifanye hivi ukawadanganya watu. Hii hi ghushi. Kwa hivyo usifanye hivo.

Jengine ni kwamba unafunua sehemu ya siri ya wasichana kwa ajili ya kutengeneza. Jiepushe na kazi hii.

Swali: Lipi linalomazimu kutokana na yaliyopita?

Jibu: Atubu kwa Allaah na aachane na jambo hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14819
  • Imechapishwa: 28/06/2020