Swali: Mwanamke mwenye mume na akapunguza katika haki ya kumhudumia. Kisha mwanamke huyu akawa ni mwenye kumtamkia mume wake na [… sauti haisikiki… ] kwenye uso wake. Je, inajuzu kwake kufanya kitendo hichi?

Jibu: Anaweza kuomba haki yake lakini iwe kwa hekima.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=88
  • Imechapishwa: 22/09/2020