Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
“… wameendekeza na kuwatukana Maswahabah wa Mtume wa Allaah.”
Wana nyuradi ambazo kwazo wanamlaani Abu Bakr, ´Umar, ´Aaishah na Hafswah (Radhiya Allaahu ´anhum) wote. Katika ile du´aa wanayoiita “du´aa kwa masanamu” wanasema:
“Ee Allaah! Laani masanamu ya ki-Quraysh, mashetani wao… “
Nyuradi zao zote ndani yake kumejaa matusi kwa Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Allaah awalaani, awadhalilishe na awafedheheshe.
- Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Bayaan wa al-Idhwaah li ´Aqiydah Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah fiy Ru´yati Allaahi yaum al-Qiyaamah, uk. 11
- Imechapishwa: 27/08/2020
Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
“… wameendekeza na kuwatukana Maswahabah wa Mtume wa Allaah.”
Wana nyuradi ambazo kwazo wanamlaani Abu Bakr, ´Umar, ´Aaishah na Hafswah (Radhiya Allaahu ´anhum) wote. Katika ile du´aa wanayoiita “du´aa kwa masanamu” wanasema:
“Ee Allaah! Laani masanamu ya ki-Quraysh, mashetani wao… “
Nyuradi zao zote ndani yake kumejaa matusi kwa Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Allaah awalaani, awadhalilishe na awafedheheshe.
Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Bayaan wa al-Idhwaah li ´Aqiydah Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah fiy Ru´yati Allaahi yaum al-Qiyaamah, uk. 11
Imechapishwa: 27/08/2020
https://firqatunnajia.com/nyuradi-za-shiyah-kuwatukana-maswahabah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)