Swali: Nilinuia endapo Allaah atanitunuku mwana nitampa jina la “Nuuh”. Pindi Allaah aliponiruzuku mwana nikampa jina la “´Abdur-Rahmaan”. Kisha akafariki baada ya kufikisha miaka kumi na mbili. Je, nina dhambi kwa kubadilisha nia?
Jibu: Haina neno. Una khiyari. Unaweza kumpa jina la “Nuuh” au “´Abdur-Rahmaan”. Hakuna neno. Huna dhambi kwa hilo. Nia haikulazimishi kitu. Lakini lau ungeliapa kwa jina la Allaah ya kwamba ungempa jina la “Nuuh”, unatakiwa kutambua kuwa kiapo sio mamoja na nia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Nilinuia endapo Allaah atanitunuku mwana nitampa jina la “Nuuh”. Pindi Allaah aliponiruzuku mwana nikampa jina la “´Abdur-Rahmaan”. Kisha akafariki baada ya kufikisha miaka kumi na mbili. Je, nina dhambi kwa kubadilisha nia?
Jibu: Haina neno. Una khiyari. Unaweza kumpa jina la “Nuuh” au “´Abdur-Rahmaan”. Hakuna neno. Huna dhambi kwa hilo. Nia haikulazimishi kitu. Lakini lau ungeliapa kwa jina la Allaah ya kwamba ungempa jina la “Nuuh”, unatakiwa kutambua kuwa kiapo sio mamoja na nia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/nuuh-au-abdur-rahmaan-%e2%80%82/