Swali: Kabla ya kuku kuchinjwa anapigwa umeme na inatokea wakati mwingine anakufa kwa sababu ya umeme huo. Kisha baada ya hapo ndio anachinjwa na halafu anapigwa umeme kwa mara nyingine. Mtu anaweza kula kuku kama hii?

Jibu: Hapana. Ni myamafu. Inahesabika kuwa haikuchinjwa. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020