Swali: Niko na misahafu mingi ambayo imepasukapasuka. Niifanye nini?
Jibu: Ikiwa imeharibika basi ajitahidi kuizika sehemu maalum na safi. Wachimbe shimo, waiweke ndani yake na wafukie kwa udongo.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
- Imechapishwa: 19/06/2022
Swali: Niko na misahafu mingi ambayo imepasukapasuka. Niifanye nini?
Jibu: Ikiwa imeharibika basi ajitahidi kuizika sehemu maalum na safi. Wachimbe shimo, waiweke ndani yake na wafukie kwa udongo.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
Imechapishwa: 19/06/2022
https://firqatunnajia.com/nini-zinafanywa-nyaraka-za-qur-aan-zilizoharibika/