Swali: Mume wangu haswali. Anaswali baadhi ya siku kisha anaacha mwezi mpaka miezi miwili. Naomba nasaha?

Jibu: Ikiwa haswali msikitini wala nyumbani kabisa, basi ni lazima kwako kumnasihi, kumtahadharisha na umwambie kuna matatizo kwa ambaye haswali. Penigne Allaah akaufungua moyo wake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
  • Imechapishwa: 19/06/2022